Machapisho

Picha
TAMBUA AFYA YAKO.    TUANGALIE MADHARA YA  UZITO ULIOPITILIZA (Obesity).             Uzito mkubwa wa kupindukia ni tatizo kubwa la kiafya katika maisha yetu ya kisasa.       Uzito unapozidi kiwango ambacho kinahitajika kwa mtu husika kunachangia matatizo mengi ya kiafya.         Kwa mujibu wa Takwimu zilizotolewa na shirika la afya duniani, zaidi ya watu bilioni 1.5 duniani wamezidisha uzito wa miili yao. Milioni 500 kati yao huwa na uzito  wa kupindukia.      Tatizo hili la UZITO uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini.       Njia rahisi inayokubalika ya kuweza kugundua kama mtu ni MZITO/MNENE kupita kiasi (Obese) inafahamika kama kipimo cha Body Mass Index (BMI).        Vipimo hivi vya BMI ndio vinaweza kukujulisha kama unene ulionao unastahili kulingana na umri, urefu na...
Picha
ZIFAHAMU GROUP (KUNDI) ZA DAMU PAMOJA NA AINA YA ULAJI NA TABIA ZAKE .  Kundi lako la damu linaweza kukufanya uwe dhaifu au imara katika kukabiliana na magonjwa fulani.       Ni vema kujua kundi lako la damu sawa na ilivyo vema kujua mambo mengine yanayochangia kuwa na afya njema. Kujua kundi lako la damu Kunaweza kukuza uwezo wako wa kufahamu hatari zinazo kukabili kutokana na kundi la damu Ulilo nalo na kuepuka hatari hizo kwa kutumia mtindo wa maisha unaofaa.Hata hivyo, Kama vilivyo viungo vingine vya mwili, damu nayo ina changamoto ya kukumbana na maradhi mbalimbali, magonjwa yanayoathiri utendaji kazi wa damu yanaweza kugawanywa katika makundi kama vile ya kurithi, kuambukiza, mabadiliko ya kimwili na saratani tofauti. Damu ya binadamu imegawanyika katika makundi makuu manne ambayo ni A, B, AB, na O, binadamu yeyote lazima awe na moja wapo ya makundi hayo.   GROUP A ✔Hawa ni vegetarians. Yaani wala mboga mboga hasa za kijani. Pia wanahitaji sana mana...

KARIBU KATIKA UKURASA HUU KUJUA CHANZO CHANZO NA SULUHISHO LA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

Picha
HABARI ZA KAZI, POLENI NA MAJUKUMU YA HAPA NA PALE,LEO NIMEPENDA TUONGELEE KIDOGO TU KUHUSU UDHAIFU  KWENYE TENDO LA NDOA NA SULUHISHO LAKE.  Asilimia kubwa ya wanaume wenye umri wa miaka 20 hadi 40 wanakumbwa sana na tatizo hili kutokana na mfumo wa maisha kubadilika.. Vyanzo vya upungufu wa nguvu za kiume ni vingi sana navyo ni÷ 1)UPIGAJI PUNYETO MARA KWA MARA 2)MSONGO WA MAWAZO 3)MAZINGIRA YASIYORIDHISHA KUFANYA TENDO LA NDOA 4)UNYWAJI WA POMBE KUPITA KIASI 5)KUPOOZA/KUUGUA STROKE 6)KUUGUA KISUKARI KWA MUDA MREFU 7)ULAJI MBOVU WA VYAKULA HASA VYAKULA VYENYE MAFUTA MENGI 8)KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI eg, viagra, estrogen, diuretic, tranquillizers, digoxin, NK 9)KUUMIA KWA KINENA (GROIN) 10)KIWANGO KIDOGO CHA TESTERON 11)KUUGUA CHANGO LA KIUME AU NGIRI 12)KUTOKUFANYA MAZOEZI DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA  KIUME Mwanaume anayekabiliwa na tatizo Hilo la nguvu za kiume huwa na Dalili zifuatazo »» HUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA ~huwa Hanauwezo wa kut...

KARIBU NIKUSAIDIE NJIA RAHISI YA KUPUNGUZA UZITO MKUBWA KIAFYA KWA SIKU 9

Picha
NDANI YA MAKALA HII NIMEKUWEKEA NJIA NA HATUA SAHIHI AMBAZO ZITAKUSAIDIA KUPUNGUA ,Kwa Maelezo Zaidi Tafadhal ihttps://maboje.blogspot.com/2019/07/karibu-nikusaidie-njia-rahisi-ya.html"> TAMBUA AFYA YAKO. TUANGALIE MADHARA YA UZITO ULIOPITILIZA (Obesity). Uzito mkubwa wa kupindukia ni tatizo kubwa la kiafya katika maisha yetu ya kisasa. Uzito unapozidi kiwango ambacho kinahitajika kwa mtu husika kunachangia matatizo mengi ya kiafya. Kwa mujibu wa Takwimu zilizotolewa na shirika la afya duniani, zaidi ya watu bilioni 1.5 duniani wamezidisha uzito wa miili yao. Milioni 500 kati yao huwa na uzito wa kupindukia. Tatizo hili la UZITO uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini. Njia rahisi inayokubalika ya kuweza kugundua kama mtu ni MZITO/MNENE kupita kiasi (Obese) inafahamika kama kipimo cha Body Mass Index (BMI). Vipimo hivi vya BMI ndio vinaweza kukujulisha kama unene ulio...

BEST PRODUCT IN THE WORLD. FOREVER LIVING PRODUCT

Picha

KARIBU NITAKUSAIDI NA KUKUELEKEZA NJIA SALAMA NA RAHISI KUPUNGUA UZITO NDANI YA SIKU 9

Picha
v>TAMBUA AFYA YAKO. TUANGALIE MADHARA YA UZITO ULIOPITILIZA (Obesity). Uzito mkubwa wa kupindukia ni tatizo kubwa la kiafya katika maisha yetu ya kisasa. Uzito unapozidi kiwango ambacho kinahitajika kwa mtu husika kunachangia matatizo mengi ya kiafya. Kwa mujibu wa Takwimu zilizotolewa na shirika la afya duniani, zaidi ya watu bilioni 1.5 duniani wamezidisha uzito wa miili yao. Milioni 500 kati yao huwa na uzito wa kupindukia. Tatizo hili la UZITO uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini. Njia rahisi inayokubalika ya kuweza kugundua kama mtu ni MZITO/MNENE kupita kiasi (Obese) inafahamika kama kipimo cha Body Mass Index (BMI). Vipimo hivi vya BMI ndio vinaweza kukujulisha kama unene ulionao unastahili kulingana na umri, urefu na uzito wako. Magonjwa yanayoweza kuambatana na tatizo la unene/uzito uliopitiliza Ni ; ▪Kisukari. ▪shinikizo la damu (hypertensi...

IFAHAMU ARG+ NA FAIDA ZAKE, NI NZURI PIA KWA WANAMAZOEZI AINA ZOTE

Picha
One of my favorite fitness product I use every time ☆ Kwanini Naipenda Na Naitumia ARGI+ ? ☆ Na Kwanini Napendekeza Uitumie ARGI+ ?  ☆ Ni Muhimu Kwa Afya Yako. Fahamu Sababu 10 Za Kutumia ARG+ Ina 5 grams za L-Arginine kwa kila kijiko kimoja, na vitamini mbalimbali zinazosaidia kuongeza stamina na nguvu. L-Arginine ni amnino acid muhimu sana kwa afya kiujumla. Miili yetu inaibadilisha kuwa Nitric Oxide, ambayo inasaidia mishipa ya damu kutanuka na kuruhusu damu kupita. ARGI + pia ina viondosha sumu kama Pomegranate. Faida 10 za ARGI + 1 . Ni kirutubisho muhimu sana kutumiwa kila siku kwa ajili ya kusaidia mifumo yote ya mwili ili kuupa mwili uwezo wa kufanya kazi vizui zaidi. 2 . Inasaidia mfumo wa kinga ya mwili, kutokana na Nitric Oxide ambayo inatumiwa na chembechembe nyeupe za damu kuua bacteria. Hivyo kuupa mwili uwezo zaidi wa kupigana na magonjwa. 3. Inasaidia kurekebisha kiwango cha "Blood Pressure kiwe sahihi na afya ya mzunguko...