KARIBU NITAKUSAIDI NA KUKUELEKEZA NJIA SALAMA NA RAHISI KUPUNGUA UZITO NDANI YA SIKU 9
v>TAMBUA AFYA YAKO.
TUANGALIE MADHARA YA
UZITO ULIOPITILIZA (Obesity).
Uzito mkubwa wa kupindukia ni tatizo kubwa la kiafya katika maisha yetu ya kisasa.
Uzito unapozidi kiwango ambacho kinahitajika kwa mtu husika kunachangia matatizo mengi ya kiafya.
Kwa mujibu wa Takwimu zilizotolewa na shirika la afya duniani, zaidi ya watu bilioni 1.5 duniani wamezidisha uzito wa miili yao. Milioni 500 kati yao huwa na uzito wa kupindukia.
Tatizo hili la UZITO
uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini.
Njia rahisi inayokubalika ya kuweza kugundua kama mtu ni MZITO/MNENE kupita kiasi (Obese) inafahamika kama kipimo cha Body Mass Index (BMI).
Vipimo hivi vya BMI ndio vinaweza kukujulisha kama unene ulionao unastahili kulingana na umri, urefu na uzito wako.
Magonjwa yanayoweza kuambatana na tatizo la unene/uzito uliopitiliza Ni ;
▪Kisukari.
▪shinikizo la damu (hypertension).
▪Matatizo ya kizazi (Infertility).
▪kiharusi (Stroke).
▪Magonjwa ya moyo (Heart Failure).
▪Kiwango cha juu cha lihamu kwenye damu ( Cholesterol ).
▪Saratani ya matiti.
▪Saratani ya tezi dume ( prostate Cancer)
▪Saratani ya utumbo mpana pamoja na maeneo ya haja kubwa ( Colorectal Cancer)
▪ Matatizo ya mzunguko na mishipa ya damu kama vile kuvimba kwa Vena za miguuni ( Varicose veins)
▪kutokupumua vizuri wakati mtu yupo usingizini.
▪Kutokushirik vizuri kwenye TENDO la Ndoa.
▪Ugonjwa wa mifupa kama yabisi. Nk nk
Epuka kupunguza UZITO kwa kufanya DIET na MAZOEZI.
Kiafya sio nzuri, kupungua utapungua lakini huwezi kudetox mwili wako kwa kutoa sumu tulizonazo na vilevile ngozi yako itanyauka kwa kuunyima mwili virutubisho muhimu kwa kufanya diet.
FAHAMU NJIA SAHIHI NA BORA YA KUPUNGUZA UZITO KIAFYA ILIYOTHIBITISHWA KWA AJILI YA AFYA YAKO.
Clean 9 nutritional Program ni njia sahihi ya kupunguza mwili kiafya iliyothibitishwa kwa ajili ya afya yako.
Pia imetengenezwa na viini LISHE vya asili vya mmea wa aloe vera na asali ya nyuki wadogo kwa ajili ya kupunguza unene na mafuta yaliyozidi mwilini, Na kusafisha sumu mwilini.
PROGRAM Hii Itakupa Faida nyingi Zifuatazo :-
◆ Itakusaidia kuondoa Mafuta Mabaya mwilini( BAD CHOLESTEROL).
◆ Itakusaidia Kusafisha Njia Ya Mmeng'enyo Wa Chakula.
◆Virutubisho vilivyopo vitakusaidia kusafisha Sumu Mwilini.(DETOX).
◆Itakusaidia Kupunguza Uzito.
◆Itakufanya ujenge SELI mpya na kukufanya NGOZI yako ing'ae na ihimalike mara dufu.
◆Itakusaidia Kuboresha Muonekano Wako Pamoja Na Kuwa Na Afya Bora.
Watu Wengi Wametumia Program Hii Na Imewapa Matokeo Mazuri Naamini Na Wewe Inawezekana.
Ukiamua Kutumia Program Hii Utakuwa Miongoni Mwao, Kwa kuwa na mwili wenye mwonekano mzuri na wenye Afya.
Karibu kwa Mawasiliano 065247674,, 0783686264
